Skip to content

Mashine za Kusaga

HomeOur History / Contact Us

KUCHEKECHA MAHINDI

Mashine ya Kuchekecha Mahindi

Inachekecha tani 12 za mahindi kwa siku, Inasafisha vumbi, mawe na mabunzi kwa 99%, Inatumia umeme wa njia tatu

KUKOBOA ROLLA 4

Mashine ya kukoboa Mahindi Rolla 4

Inatumia umeme wa njia tatu, Inatumia mota ya 40hp, Inasaga tani 12 kwa siku

 

KUPUKUCHUA MAHINDI NDOGO

Mashine ya kupukuchua mahindi

Inapukuchua tani mbili hadi tani nne kwa siku, Inatumi injini ya petroli au diesel au moto, Inapuliza makapi wakti wa kupukuchua.

 

Mashine-ya-kukoboa-mahindi-1-trans-400x400

Mashine ya kusaga mahindi na kukoboa

Inasafisha mahindi, Inachanganya mahindi na maji, Inasaga na kukoboa, Inasaga tani mbili kwa saa, Mota yake ni 40hp.

IMG_3885

Mashine ya kusaga viungo magome na vitu vikavu

Inatumia umeme wa njia moja (single phase), Inatumia moto 5hp, Inasaga kilo 300 kwa siku

Je, unahitaji mashine?

Ikiwa una wazo zuri, wasiliana nasi. Ikiwa ni mradi mdogo au mkubwa, nitasikiliza kwanza na nitakurejea kwako na mpango.

MTANGA POLYMACHINERY tunashughulika na Utafiti, Usanifu na Utengenezaji wa Mashine bora na za bei nafuu kwa matumizi ya nyumbani na viwandani…
MTANGA POLYMACHINERY tunashughulika na Utafiti, Usanifu na Utengenezaji wa Mashine bora na za bei nafuu kwa matumizi ya nyumbani na viwandani…

Contact Information

+ 255 (0) 767 329 728
+ 255 (0) 715 329 728
mtangapolymachinery@gmail.com
Picha ya Ndege - Kibaha

 Mtanga Polymachinery, Copyright ©  2023  All Rights Reserved.