Skip to content
IMG_4285

Mixer ya kuchanganya nakupika sabuni za miche

Inachanganya na kupika kilo 150 kwa wakati mmoja, Inapika kwa kutumia gas, Inapika na kuchanganya kwa dakika 10

Mashine-za-Sabuni-300x300

Mashine ya kutengeneza miche ya sabuni (PLUDER)

Uwezo wake ni horsenpower10hp, Inatengeneza catton 700 kwa siku, Inaweza kutengeneza maumbo tofauti tofauti sabuni za kufulia nakuogea, Inafanya kazi masaa 20 bila kupumzika

IMG_3886

Mashine ya kukata vipande vya sabuni

Haitumii umeme, Inakata vipande kumi wa mara moja, Inakata sabuni kwa ukubwa unaotaka (Adjustable size)

Mashine-Ya-Sabuni-Za-Maji-400x400

Mashine ya sabuni ya maji (Shampoo, hand wash, tilet cleaner)

Inachanganya lita 200 – 500 kwa wakti mmoja, Ina taki mbili kwa ajili ya kujazia kwenye vifungashio, Inatumia umeme wa njia moja, Inatumia pump ya umeme kutoa sabuni

Je, unahitaji mashine?

Ikiwa una wazo zuri, wasiliana nasi. Ikiwa ni mradi mdogo au mkubwa, nitasikiliza kwanza na nitakurejea kwako na mpango.

MTANGA POLYMACHINERY tunashughulika na Utafiti, Usanifu na Utengenezaji wa Mashine bora na za bei nafuu kwa matumizi ya nyumbani na viwandani…
MTANGA POLYMACHINERY tunashughulika na Utafiti, Usanifu na Utengenezaji wa Mashine bora na za bei nafuu kwa matumizi ya nyumbani na viwandani…

Contact Information

+ 255 (0) 767 329 728
+ 255 (0) 715 329 728
mtangapolymachinery@gmail.com
Picha ya Ndege - Kibaha

 Mtanga Polymachinery, Copyright ©  2023  All Rights Reserved.