Skip to content

Mashine za Ujenzi

HomeOur History / Contact Us

Mashine-ya-tofari-za-kuvaana-interlock-block-ya-kutumia-mkono-400x400

Mashine ya Tofali ya Kuvaana Kutumia Mkono  

Inatoa tofari moja kwa wakati mmoja,Inatumia nguvu kidogo kutoka kwa mtumiaji, Chuma chake ni 8m, Inatoa tofari la inchi sita

MIXER NA VIBRATOR YA TOFALI

Mashine ya Kuchanganya na Kufyatulia tofali

Inatumia umeme wa njia tatu (three phase), Inachanganya mchanga na cement 50kg, Mixer inatumia mota ya 10hp.

TOFALI 2 VIBRATOR 222

Mashine ya kufyatulia tofauti ya umeme

Inatumia umeme wa njia tatu (three phase), Inafyatua tofali moja hadi mbili kwa mara moja,  na Inatumia mota ya 5hp

KURANDA 14 INCH

Mashine ya kulanda mbao

 Ina upana wa inch 14 hadi 16, Inaranda mbao za aina zote laini na ngumu, Inatumia umeme wa njia moja au tatu, Mota inaukubwa wa 7hp, Ina jeck kwa ajili ya kuseti vipimo vya mbao kabla ya kurandat.

PEVIN BLOCK

Mashine ya paving block

 Inafyatua paving 4 kwa mara moja, Haitumii umeme, Inafyatua paving kwa maumbo tofauti tofauti

Je, unahitaji mashine?

Ikiwa una wazo zuri, wasiliana nasi. Ikiwa ni mradi mdogo au mkubwa, nitasikiliza kwanza na nitakurejea kwako na mpango.

MTANGA POLYMACHINERY tunashughulika na Utafiti, Usanifu na Utengenezaji wa Mashine bora na za bei nafuu kwa matumizi ya nyumbani na viwandani…
MTANGA POLYMACHINERY tunashughulika na Utafiti, Usanifu na Utengenezaji wa Mashine bora na za bei nafuu kwa matumizi ya nyumbani na viwandani…

Contact Information

+ 255 (0) 767 329 728
+ 255 (0) 715 329 728
mtangapolymachinery@gmail.com
Picha ya Ndege - Kibaha

 Mtanga Polymachinery, Copyright ©  2023  All Rights Reserved.