Skip to content

Mashine za Usindikaji

HomeOur History / Contact Us

IMG_3955

Mashine ya kuaanga soya,maboga na nafaka

Inakaanga kutumia gas, Inaanga kilo kumi dakika 15, Inatak linalozunguka hivyo haiunguzi kinachokaangwa

Mashine-ya-kusaga-chill-sauce-na-tomato-sauce-400x400

Mashine ya kusaga juice, chill sause, tomato sause

Inatumia umeme wa njia moja , Ina mota ya 5HP, Inasaga kilo arobaini kwa wakti mmoja, Inatoa juice kwa kutumia koki maalum

KUKAMUA MIWA

Mashine ya kukamua miwa

Ina rolla mbili za kukamua miwa, Inatumia umeme na au injini ya petroli

IMG_3908

Mashine ya kusaga karanga

Inasaga kilo nne kwa dakika kumi, Ina mota ya 5HP singke phase, Inauwezo wa kusaga na vitu vingine kama vile tangawizi na viungo

juice_miller-400x400

Mashine Kubwa ya kusaga juice

Ina uwezo wa kusaga hadi lita kumi kwa mara moja, Ina mota ya 1hp high speed up to 3200r.p.m,Inatumia umeme wa njia mija

Je, unahitaji mashine?

Ikiwa una wazo zuri, wasiliana nasi. Ikiwa ni mradi mdogo au mkubwa, nitasikiliza kwanza na nitakurejea kwako na mpango.

MTANGA POLYMACHINERY tunashughulika na Utafiti, Usanifu na Utengenezaji wa Mashine bora na za bei nafuu kwa matumizi ya nyumbani na viwandani…
MTANGA POLYMACHINERY tunashughulika na Utafiti, Usanifu na Utengenezaji wa Mashine bora na za bei nafuu kwa matumizi ya nyumbani na viwandani…

Contact Information

+ 255 (0) 767 329 728
+ 255 (0) 715 329 728
mtangapolymachinery@gmail.com
Picha ya Ndege - Kibaha

 Mtanga Polymachinery, Copyright ©  2023  All Rights Reserved.