Skip to content

 

Mashine kwa Matumizi ya Nyumbani na Viwandani

Tunashughulika na Utafiti, Kubuni na Kutengeneza Mashine bora na za bei nafuu kwa matumizi ya Nyumbani na Viwandani…

kuku_mixer_miller-400x400-1-300x300

Mashine ya Kusaga Chakula cha Mifugo 

Muda

Inasaga na kuchanganya nusu tani (500kg) kwa dakika 15

Inafanya kazi kwa masaa 18 bila kupumzika

Uwezo

Uwezo wake ni 25 hp motor (Grinder) na motor 5hp (Mixer)

Umeme ni wa njia tatu(Three Phase)

Kazi

Inasaga na kuchanganya aina zote za chakula cha kuku yaani chick Starter, Growers mash, Finisher, layers mash na vyakula vingine vya mifugo.

Aina za Mashine

Mashine za Ufugaji

Mtanga Polymachinery imefanikiwa kuunda Incubators inayobeba mayai 21,000 kwa wakati mmoja, mashine ya kusaga na kuchanganya chakula cha kuku na mashine ya kuchanganya Ribon.

Tazama zaidi

Mashine za Ujenzi

Mtanga Polymachinery imefanikiwa kuunda mashine mbali mbali kama vile peving block, mashine ya kulanda mbao, mashine ya kuchanganya na kufyatua tofali kwa umeme.

Tazama zaidi

Mashine za Kusaga 

Mtanga Polymachinery imefanikiwa kuunda mashine za kusaga nafaka, mashine, mashine za kusaga chumvi,
na mashine ya kutengeneza viungo.

Tazama zaidi

Mashine za Kuoka

Mtanga Polymachinery imefanikiwa kuunda mashine za kuchanganya unga wa ngano,Prover, Oven and Slicer for Bakeries.

Tazama zaidi

Mashine za Usindikaji

Kampuni ya Mtanga Polymachinery imefanikiwa kutengeneza mashine ya kusindika nafaka,
mashine za peanut butter, Blenders za kutengeneza chill sauce na tomato sauce

Tazama zaidi

Mashine za Kukamua Mafuta

Mtanga Polymachinery imefanikiwa kuunda mashine za grators za kukunia nazi, mashine ya kukamua mafuta kutoka kwenye Nazi, Parachichi, Karanga, Mbegu za Castor, na Olive bila matumizi ya moto (COLD PRESS MACHINE)

Tazama zaidi

Mashine za Vipodozi

Kampuni ya Mtanga PolyMachinery imefanikiwa kutengeneza mashine ya kutengeneza Mafuta ya petrolleum jelly, losheni na mashine ya kutengeneza scrubs.

Tazama zaidi

Mashine za Kutengeneza Sabuni

Mtanga Polymachinery imefanikiwa kuunda mashine ya kutengeneza sabuni ya kipande(sabuni za mche) na
mashine za kutengeneza sabuni za maji.

Tazama zaidi

Je, unahitaji mashine?

Ikiwa una wazo zuri, wasiliana nasi. Ikiwa ni mradi mdogo au mkubwa, nitasikiliza kwanza na nitakurejea kwako na mpango.

MTANGA POLYMACHINERY tunashughulika na Utafiti, Usanifu na Utengenezaji wa Mashine bora na za bei nafuu kwa matumizi ya nyumbani na viwandani…
MTANGA POLYMACHINERY tunashughulika na Utafiti, Usanifu na Utengenezaji wa Mashine bora na za bei nafuu kwa matumizi ya nyumbani na viwandani…

Contact Information

+ 255 (0) 767 329 728
+ 255 (0) 715 329 728
mtangapolymachinery@gmail.com
Picha ya Ndege - Kibaha

 Mtanga Polymachinery, Copyright ©  2023  All Rights Reserved.