Skip to content
Mashine-ya-kusaga-chakula-cha-mifugo-ndogo-400x400-1-300x300

Mashine ya Kusaga Chakula cha Mifugo 

Inatumia umeme wa njia moja (single phase), Inasaga kilo 100 kwa saa, Inasaga vyakula vya aina zote starta, grower, finisher.

RIBON-MIXER-100KG-300x300

Mashine ya Kuchanganya Vyakula vya Samaki 

Inatunia umeme wa nia moja au tatu, Inachanganya kilo 500 hadi 1000 kwa mara moja, Ina gearbox ili kuongeza nguvu na ufanisi wa mashine.

incubator-400x400-1-300x300

Mashine ya Kutotoleshea Vifaranga 

Inatotoresha mayai hadi 21000 kwa wakati mmoja (ina watts 2000)

 

Mashine-Ya-Kukata-Majani-Ya-Kulisha-Ngombe-400x400-1-300x300

Mashine ya Kukata Majani ya Kulishia Ng’ombe

Inakata majani na mabua, mabichi kwa makavu, Inatumia umeme au injini ya petrol, Inakata kilo 200 za majani kwa saa

kuku_mixer_miller-400x400

Mashine ya Kukata Majani ya Kulishia Ng’ombe

Inasaga na kuchanganya nusu tani (500kg) kwa dakika 15, Inasaga na kuchanganya aina zote za chakula cha kuku yaani chick Starter, Growers mash, Finisher, layers mash na vyakula vingine vya mifugo.

Je, unahitaji mashine?

Ikiwa una wazo zuri, wasiliana nasi. Ikiwa ni mradi mdogo au mkubwa, nitasikiliza kwanza na nitakurejea kwako na mpango.

MTANGA POLYMACHINERY tunashughulika na Utafiti, Usanifu na Utengenezaji wa Mashine bora na za bei nafuu kwa matumizi ya nyumbani na viwandani…
MTANGA POLYMACHINERY tunashughulika na Utafiti, Usanifu na Utengenezaji wa Mashine bora na za bei nafuu kwa matumizi ya nyumbani na viwandani…

Contact Information

+ 255 (0) 767 329 728
+ 255 (0) 715 329 728
mtangapolymachinery@gmail.com
Picha ya Ndege - Kibaha

 Mtanga Polymachinery, Copyright ©  2023  All Rights Reserved.