Skip to content
IMG_4286

Mashine ya kukanda ngano

Inakanda ngano kilo 50 kwa wakati mmoja,Inatumia umeme wa njia tatu au moja, Inafanya kazi kwa masaa 20 bila kupumzia

SLICER 1

Mashienya kukata slice za mikate

Inatumia  umeme wa njia moja (single phase)

Inabeba na kukata mikate mitano kwa pamoja

IMG_3929

Mashine ya kuoka mikate kwa kutumia gas

Inabeba mikate 30 – 90 kwa wakati mmoja, Inafanya kazi masaa 20 bila kupumzika, Inatumia gas au umeme kidogo kuoka mikate.

IMG_3936

Mahine ya kuumua mikate

Inaumua mikate 150 – 200 kwa wakti mmoja, Inatumia umeme wa njia moja, Inafanya kazi msaa 20 bila kupumzika

IMG_3919

Mahine ya kuoka mikate kwa kutumia gas

Inabeba mikate 30 – 90 kwa wakati mmoja, Inafanya kazi masaa 20 bila kupumzika, Inatumia gas au umeme kidogo kuoka mikate.

Je, unahitaji mashine?

Ikiwa una wazo zuri, wasiliana nasi. Ikiwa ni mradi mdogo au mkubwa, nitasikiliza kwanza na nitakurejea kwako na mpango.

MTANGA POLYMACHINERY tunashughulika na Utafiti, Usanifu na Utengenezaji wa Mashine bora na za bei nafuu kwa matumizi ya nyumbani na viwandani…
MTANGA POLYMACHINERY tunashughulika na Utafiti, Usanifu na Utengenezaji wa Mashine bora na za bei nafuu kwa matumizi ya nyumbani na viwandani…

Contact Information

+ 255 (0) 767 329 728
+ 255 (0) 715 329 728
mtangapolymachinery@gmail.com
Picha ya Ndege - Kibaha

 Mtanga Polymachinery, Copyright ©  2023  All Rights Reserved.