Mashine za Ujenzi
Mashine ya Tofali ya Kuvaana Kutumia Mkono
Inatoa tofari moja kwa wakati mmoja,Inatumia nguvu kidogo kutoka kwa mtumiaji, Chuma chake ni 8m, Inatoa tofari la inchi sita
Mashine ya Kuchanganya na Kufyatulia tofali
Inatumia umeme wa njia tatu (three phase), Inachanganya mchanga na cement 50kg, Mixer inatumia mota ya 10hp.
Mashine ya kufyatulia tofauti ya umeme
Inatumia umeme wa njia tatu (three phase), Inafyatua tofali moja hadi mbili kwa mara moja, na Inatumia mota ya 5hp
Mashine ya kulanda mbao
Ina upana wa inch 14 hadi 16, Inaranda mbao za aina zote laini na ngumu, Inatumia umeme wa njia moja au tatu, Mota inaukubwa wa 7hp, Ina jeck kwa ajili ya kuseti vipimo vya mbao kabla ya kurandat.
Mashine ya paving block
Inafyatua paving 4 kwa mara moja, Haitumii umeme, Inafyatua paving kwa maumbo tofauti tofauti
Je, unahitaji mashine?
Ikiwa una wazo zuri, wasiliana nasi. Ikiwa ni mradi mdogo au mkubwa, nitasikiliza kwanza na nitakurejea kwako na mpango.